Wapi unapo weza kupata neno la Mungu la kweli , hili Ni swali kwa Watu wengi ila hukosa majibu na wengine hupata, Ukweli upo katika maandiko matakatifu yaani Biblia.
Huwezi kuwa na uhakika kama neno halionyeshi matendo yake katika uhalisia na huwezi jua kama ni hai hilo neno.